Terms za Matumizi
Ukitumia Kuza Akaunti, unakubali terms hizi. Tumeziandika kwa lugha rahisi ili kila mtu aelewe.
Huduma Tunazotoa
01Kuza Akaunti ni app ya SMM services. Unaweza kuagiza followers, views, likes, subscribers, comments, watch hours na huduma nyingine kulingana na services zilizopo ndani ya app.
Wajibu Wako
02Hakikisha link, username, page au channel unayoweka ni sahihi kabla ya ku-order. Ukikosea link na order ikaanza, inaweza kuwa ngumu kuibadilisha.
Malipo na Wallet
03Bei zote zinaonyeshwa kwa TZS. Unaweka pesa kwenye wallet kwa Mobile Money, kisha unalipia oda kutoka kwenye salio lako. Usianze order kama hujahakikisha service na quantity ni sahihi.
Refund, Partial na Refill
04Kama service imeleta partial, canceled au haijakamilika kulingana na provider, support itaangalia na kiasi kinachostahili kinaweza kurudishwa kwenye wallet. Refill ipo tu kwa services zinazoonyesha kuwa zina refill.
Password na Usalama
05Hatukuombi password za social media zako. Kwa kawaida tunaomba link au username tu. Usimpe mtu password yako kwa jina la Kuza Akaunti.
Sheria za Platforms
06TikTok, Instagram, YouTube, Facebook na platforms nyingine zina rules zao. Kuza Akaunti haiwezi kudhibiti maamuzi ya platform kama reach kupungua, content kushushwa au account kuwekewa limit.
Support
07Ukipata changamoto kwenye payment, salio, link au order, wasiliana nasi WhatsApp. Tueleze order ID au maelezo ya payment ili tukusaidie haraka.
Mabadiliko ya Terms
08Tunaweza kubadilisha terms hizi kadri app na services zinavyoongezeka. Version mpya itawekwa hapa, kwa hiyo unaweza kurudi kusoma wakati wowote.
Una swali kuhusu terms? Wasiliana nasi
