Download ya Android

Download Kuza Akaunti

Pakua app ya Android, jisajili, weka pesa kwenye wallet na anza kuagiza social media services kwa bei zinazoeleweka.

Kuza Akaunti

Kuza Akaunti

Version ya Android· App ni bure · Malipo ndani ya wallet

Android 5.0 au zaidi
Nafasi ndogo ya app
Hatuombi password za social media
Account inalindwa na login

Jinsi ya Kuisakinisha Android

Hatua tatu za kuweka app kwenye simu yako ya Android

01

Download APK

Bonyeza button ya Download APK. Hakikisha una bundle au Wi-Fi na nafasi ndogo kwenye simu.

02

Ruhusu Install

Simu ikiuliza ruhusa, ruhusu install kutoka browser au file manager. Hii ni kawaida kwa APK zinazotoka nje ya Play Store.

03

Install na Anza

Fungua APK, bonyeza Install, kisha fungua Kuza Akaunti. Jisajili, weka salio na chagua service.

Hatukuombi password za TikTok, Instagram, YouTube au Facebook